Huu ni wakati ambao makombora yalikuwa yanapigwa katika mji wa Kabul nchini Afghanstan, karibu na Ikulu ya rais wakati wa sala za sherehe za Eid al-Adha. Licha ya makombora hayo, rais Ashraf Ghani ...
Wakati mwingine , huwaita Waislamu Jihadi na Wapakistan. Hali hiyo imefanya sasa sala za Waislam kufanyika chini ya ulinzi wa polisi. Altaf Ahmed, ambaye ni muasisi mwenza wa kikundi cha kijamii ...